Diamond amefunguka hivi kwa kuweka
picha hiyo hapo juu ya wema akiwa hana nywele yani kipara. Na kuandika Maneno
haya: "So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love
her either way...#Mahaba_niue #Kipara_ninyonge"
Baada ya Post hiyo naye wema sepetu aliweza kujibu kwa
kuweka post yenye picha hii hapa na kusema hivi : “I just luv you Naseeb wangu”
hakika hawawatu wanapendana kwa kweli tungoje Ndoa tu sasa
kilichobaki……
Team wema nao hawakuwa nyuma kusindikiza furaha hiyo ya hao
wawili na waliweza kupost dongo hili likiwa na Picha hiyo hapo Juu, Daaaaahhh
ni shida kweli……
No comments:
Post a Comment