Visitors


hit counter

Breaking News

728-banner


web counter

OnAir

Monday, 11 November 2013

IRENE UWOYA AREJEA TANZANIA NA SALAMU KUTOKA KWA MSWATI, HIKI NDO ALICHOSEMA

Mwigizaji Irene Uwoya amerejea nchini toka nchini Swaziland alipokuwa kwa takribani wiki tatu.
Irene Uwoya aliyerejea nchini leo hii amerejea na salamu toka nchini Swaziland alizoziandika kupitia ukrasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii alisema…
“Mswat anawasalinmu sana! Nahiv karibun atatinga hapa nakanipa kibali chakufanyya move na ful suport…I wl prove u wrong…try me”
Akimaanisha, amerejea nchini na Mswati amnawasalimia sana na amesema atakuja nchini hivi karibuni na amenipa kibali cha kufanya Filamu na atanisaidia kwa kila kitu. Nijaribu nitakuthibitishia kuwa umekosea (Kwa Kiswahili fasaha).

No comments:

Post a Comment

Designed By Published.. Blogger Templates