Kwa uchunguzi uliochukua takriban mwez mzima Blog hii imegundua kuwa msanii, mtangazaji Vee Money aka Vanessa Hau Mdee ndiye celebrity wa Bongo anayeweza kuongea kingereza kizuri na fasaha kwa muda wowote bila kupindisha maneno.
Ingawa wapo wengi wanaoweza kuongea kwa ufasaha kama yeye ila kura za wengi zimemlenga yeye.
Pia ndie star Pekee wa Tanzania kuwa First ever MTV VJ.


Gd kip it up
ReplyDeletevanessa iz so amazing, admirable figure.
ReplyDelete