Pennie na Diamond ambao wanadaiwa kumtumia Dk Kamdege kufanikisha mambo yao.
Dk Kamdege kutoka Tabora ambae inasemekana amekua kwenye ukaribu na msanii Diamond pamoja na Penieh hata kabla ya mahusiano yao kuanza.
Katika Hali isiyotarajiwa habari zilizopatikana muda mchache baada yakuvuja kwa siri ya undugu wa Diamond na Pennie Kumbe chanzo chake inadaiwa mganga mashuhuri kutoka mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina moja Dk Kamdege ambaye anahusika kwenye mahusiano hayo
Mganga huyo wakienyeji ambae amekua maarufu sana tangu sana tangu aanze huduma hyo kutokana na watu weng maarufu kumfuata mambo yao ikiwemo na mafanikio ktk Biashara, kazi, muzik, sanaa, Uongozi ngazi za juu na michezo.
Mganga huyo aliwahi kujitoa kwenye vyombo vya habari akimsihi Pennie aende kwake akamtaftie Dawa yakumtuliza Diamond, kwani anamfahamu vizuri mwanamziki huyo na angejua nini chakufanya ili Diamond atulie.
Haikupita muda bila kufahamika kama Pennie alienda kwa Dk huyo, Lakini Diamond alianza kurejea kwa Pennie na mambo yalimalizika kabisa kabla yakuzuka kwa haya ya ndugu na ndio maana watu wa karibu wamesema Dk huyu anahusika kwenye mahusiano hayoya Diamond na Pennie kwakuwa ni watu wake wa karibu sana.
Blog hii ilimtafta Dk huyo na alipatikana kupitia number yake ya simu 0788-844 490
na alianza kusema: Mimi Hao vijana nawafaham sana , Lakini mimi ni Dk wa watanzania wote sio Pennie na Wema tu, Kazi zangu zinakubalika kwa Watanzania wote na hata nje ya nchi kwani mimi nawatolea watu mikosi na wanaotaka kuwa maarufu na wenye mafanikio pia nawanyooshea njia kwahiyo msiseme mimi ni Dk wa Pennie na Diamond hata viongozi wakubwa Serikalini nawapatia baraka zangu kisha wanafanikiwa, huwa sipend kujitangaza huko kwani mimi situmiii uchawi kumpa mutu mafanikio, hapa ni miti shamba tu inafanya kazi yake, Alisema Dk Kamdege
Aidha mganga huyo anasemekana amekua akitumiwa sana na baadhi ya viongozi wa serikalini kwa ajili yamafanikio ili kupata uongozi, kupandishwa vyeo kazini, kupewa dawa yakumuona mbaya wako kwa macho tu huku mastaa wengi wa muziki, filamu na Biashara wakiwa Tegemeo lao...

No comments:
Post a Comment