Visitors


hit counter

Breaking News

728-banner


web counter

OnAir

Monday, 25 November 2013

MWILI WA MWANAMAMKE WAKUTWA KICHAKANI UKIWA UMEKATWA KICHWA NA KUFUNGWA KAMBA HUKO "KENYA"

 
Kwenye kijiji cha Nyamira wanakijiji wameamka na kukuta mwili wa mwanamke ukiwa umekatwa kichwa na kutelekezwa pamoja na kufungwa mikono kwa kamba.
Mwili huo  ambao unaonyesha kuwa ni mwanamke mwenye miaka kati ya 25 hadi 35 amekutwa umevaa  jeans pamoja blouse nyeusi na kutupwa pembeni ya kijito cha maji mida ya saa 12 na nusu asubuhi.
Wanakijiji walishtuka na tukio hilo na kusema kwamba ni kitu cha ajabu kwenye kijiji chao na polisi wa Kenya wametangaza familia yoyote itakayoona kuna mtu amepotea nyumbani kwao atoe taarifa.
Hii ni video ya  ripoti kamili ya NTV ya Kenya
 

No comments:

Post a Comment

Designed By Published.. Blogger Templates