Diamond Platinum ambaye kwa sasa bado yuko nchini Nigeria ambako ameelekea kumalizika collabo za wasanii wawili Davido na Iyanya,sasa usiku wa Jumapili Novemba 17 aliungana na wasanii wa Nigeria katika kuhudhuria harusi ya Peter Okoye wa P Square.
Angalia picha hizi hapa
No comments:
Post a Comment