LILE sakata la madai kwamba, staa
mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu
mjini Dodoma limeingia katika sura tofauti baada ya habari yenyewe kujaa
utata.Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’.Habari za awali
zilidai kuwa, tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita katika hoteli moja (jina
lipo) iliyopo mjini Dodoma ambapo JB alikutwa na mke huyo wa mtu aliyetambulika
kwa jina moja la Sarah.Kwa mujibu wa mwanaume aliyedai kuwa ni mume wa Sarah
aitwaye...
MPENZI MSOMAJI TUPE MAONI YAKO…

No comments:
Post a Comment