Uzinduzi wa Fashion Week 2013, at Golden Tulip Dar es salaam - Tz "PICHA"
Usiku wa kuamkia Jumamosi Novemba 16,kulifanyika uzinduzi wa Swahili Fashion Week kwenye hotel ya Golden Tulip,'Msasani Peninsula' jijini Dar es Salaam,uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo na mastaa.
No comments:
Post a Comment