Katika Hali ya mshangao zaidi Msanii kutoka nchini Nigeria, Wizkid kawakilishia mashabiki wake kua nae ni kidume live.
Alionekana akipiga misele na kabinti chotara licha kua na girfriend wake Tania Omotayo.
Kwasasa Tania ameamua kuishi kivyake kisa ameshindwa kuishi na msanii Wizkid kwavile hawajafunga ndoa, huku mtaani Wiz anaonekana na bint mwengne akiwa amedinda.
.

It
is certainly no surprise then that his girlfriend, Tania Omotayo has
basically moved into his home in Lekki, according to recent reports.
Considering she first completely dismissed the idea of living with
someone she is not married to, one might wonder why she changed her
mind.

Hahahahah , Surely Wizzy iz juct being a man. DAgirl is awesomly gorgeous yhu cant blame him
ReplyDelete