
Ilipita
muda kidogo bila kuwa na mpenzi kwani, nilikuwa kwenye wakati mgumu sana, ila
alitokea kaka fulani ambaye nilikuwa na chat nae tu kwenye BBM, alinishawish
tuwe marafiki na mwishowe tukaanza kupendana. Sikujua kama kaka huyo alikuwa ni
mume wa mtu kwani hakuwahi kuniambia ila tu kitu nilichokuwa naona ni pete ya
ndao aliyo kuwa nayo.
Siku
moja tulipanga kwenda out, tulifanya hivyo na baadae tulichukua chumba hotel
fulani, usiku huo tulichezeana kila mahali tulifanya kila kitu ila nilikataa
kufanya mapenzi. Alinichezea nami nilimchezea yani ulikuwa ni usiku mzuri sana.
Asubuhi yake alinikodishia Tax Nakunipeleka nyumbani
Kumbe
kipindi chote hicho mke wake alikuwa amesafiri, Siku hiyo alinipigia simu
akaniambia kuwa anapanga safari ya kwenda beach na wenzake ambako tutaenda wote
na kulala huko. Ilikuwa ni siku ya juma mosi tulienda kwenye ufukwe huo na
kukodisha boat nakula raha sana. Nilipata tetesi kwamba jamaa ameoa ila
nikasema sio mbaya kwani pia sio mtu mbaya. Siku hiyo tulikunywa pombe sana. Ilipofika
majira ya saa sita hivi usiku sikuwa na kumbukumbu tena nilishiktuka asubuhi na
kukuta nimezungukwa na condom zilizotumika nikiwa peke yangu chumbani huku
nikiwa nasikia maumivu makali sana sehemu zangu za siri. Kumbe yeye na marafiki
zake walinifanya usiku ule wote
Nilitokwa
na mchozi sikuamini. Nilijuta sana hata niliporudi shule Sikuweza kufanya
vizuri kabisa. NAWAONYA
WANAWAKE WENZANGU KUWENI MAKINI SANA
No comments:
Post a Comment