Visitors


hit counter

Breaking News

728-banner


web counter

OnAir

Tuesday, 18 March 2014

DIAMOND!!!..KAMA YA MR NICE


Historia ya mfalme wa TAKEU nchini Lucas Mkenda a.k.a Mr Nice inaweza kujirudia tena kwa sukari ya Warembo mkali wa bongo fleva Nasib Abdul “Diamond Platnumz“ habari za uhakika zinaeleza kwamba utajiri wa Diamond umepungua kwa kiasi kikubwa sana huku na imasemekana kwenye vyombo vya habari hapa nchini kuwa ana mali nyingi sana lakini watu wake wa karibu wanasema hakuna ukweli kwenye habari hizo.

Diamond amewahi kutajwa kuwa ndiyo msanii mwenye utajri wa billion moja au zaidi kwa vigezo vya kuwa na nyumba nyingi alizonunua, miradi kibao aliyofungua na mtaa aliyonunua katika kitongoji cha kijitonyama jijini Dar-es-salaam.
Kipindi chote Diamond amekuwa ana kaa kwenye nyumba za kupanga na nyumba iliyodaiwa kuwa ya Diamond ni iliyokuwepo Mwananyamala lakini kwa mujibu wa watu wanaomfahamu wanasema kuwa inahitaji marekebisho makubwa sana ile iweze kuwa nyumba ya mtu mwenyewe utajiri wa billion 1, habari kutoka Mwananyamala hakuna mtaa aliyonunuwa mkali huyo.
Diamond huwa anatabia ya kuazima magari ili kuonekana la kwake kipindi hichi cha karibuni inasemekana alipewa gari na mfanyabiashara maarafu hapa nchini Mohamed Kiumbe “Chief Kiumbe” lakini gari hilo alichukua kwa njia ya kutaka kinunua sio kupewa kama alivyosema yeye kama kaka yake kampa gari aina ya VX V8 yenye thamani ya million 250.
-Babukubwa

No comments:

Post a Comment

Designed By Published.. Blogger Templates