HII NDIO PICHA YA MWANA FA PAMOJA NA DIAMOND WAKIWA STUDIO KAA TAYARI KWA UJIO MPYA.
Diamond Platnumz with Mwana FA
Kupitia ukarasa wake wa Facebooh rapper Mwana Fa ameachia
picha hiyo akiwa studio na msanii Diamond, Picha hii imeashiria ujio mpya wa mwana Fa na ngoma akiwa ameshirikiana na msanii mwenye kiki Diamond Platnums
No comments:
Post a Comment