
Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja
alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show ya mwanamuziki
Izzo Buzness. Star huyo aliwahi hospitalini na hali yake kuwa nzuri.
Hata hivyo star mmoja wa filamu akizungumza na Swahiliworldplanet kwa sharti la
kutoandikwa jina lake alisema kuwa Kajala alifanyiwa kitendo hicho cha
kifedhuli kutokana na madai ya kutembea na mume wa mtu
ambaye anadaiwa kumpangishia nyumba ya kifahari "kachukua mume wa mtu huyo
Kajala, yes kuna libaba limempangia nyumba nzima so nahisi ndiyo sababu ya
kuwekewa sumu" kilisema chanzo hicho.
Hata hivyo Kajala alijaribu kutafutwa ili kutolea ufafanuzi madai hayo lakini kwa siku mbili hakuweza kupatikana.
CREDIT : SWAHILI WORLD PLANET
Hata hivyo Kajala alijaribu kutafutwa ili kutolea ufafanuzi madai hayo lakini kwa siku mbili hakuweza kupatikana.
CREDIT : SWAHILI WORLD PLANET
No comments:
Post a Comment