
Msanii huyo apost picha kwenye mtandao
wakijamii na kuipa kichwa cha habari sijawahi kuumwa namna hii maishani ,hiyo
nipicha yaakiwa ana umwa ugonjwa wa matetekuwanga uliompata kitambo ila kwa
kuwa ulimtesa sana ameukumbuka na kupost picha hiyo...
ila alicho kisema kwenye video hiyo apo
chini mmmh click ujionee mwenyewe...
No comments:
Post a Comment