Mbunge wa CHADEMA akiwa hospitali baada ya kupewa kipigo kwa kutuhumiwa kutoa fedha kwa Wananchi wa Kalenga…!!
Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe
(CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea
kupata matibabu katika hospitali hiyo.
Mbunge wa hadema
anayedaiwa kupigwa na vijana ambao bado hawajajulikana jana ila habari zinasema
ni vijana wa ccm baada ya kumtuhumu anatoa rushwa…
No comments:
Post a Comment