
STAA nguli wa muziki wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila,’’Ray C’amefunguka
kuwa alipopata matatizo kipindi alipokuwa akitumia madawa ndipo alipogundua
rafiki wa kweli na wa uongo ambapo wengi aliowachukulia kama ndugu ndiyo
walikuwa wa kwanza kumkimbia na wale aliokuwa akiwategemea ndiyo waliokuwa
mstari wa mbele kumsaidia japo kwa ushauri.

Kupitia accounta yake ya instagram Ray C aliandika ‘’Nilipopata
matatizo ndio niligundua rafiki wa kweli na rafiki waongo kwani wengi
niluowachukulia kama ndugu ndio walikuwa wa kwanza kunikimbia na wale niliokuwa
nisiowategemea ndio walikuwa mstari wa mbele kunisaidia japo ushauri.
Usiyemdhania ndiye…..wanaokuumiza ni wale walio karibu yako siku zote
so guys be very cqreful na watu wa karibu wanaojua kila kitu
chako!&&hao ndio wanaoweza hata kukudhuru..
No comments:
Post a Comment