![]() |
Mwigizaji
wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’.
|
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo,
Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo
ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma.
Pasipo kuainisha matukio ya utoto
aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima.”
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima.”

No comments:
Post a Comment