Visitors


hit counter

Breaking News

728-banner


web counter

OnAir

Friday, 7 March 2014

“SIFIKIRII KUOLEWA NA MWANAUME MFUPI” LINAH SANGA AFUNGUKA KIGEZO CHA MWANAUME AMTAKAYE


MWANADADA mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake.Akipiga mwandishi wetu hivi karibuni, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.

“Nisiongee uongo kusema eti sipendi kutoka kimapenzi na mwanaume mfupi wakati nilishawahi kufanya hivyo na siwezi kujiapiza katika hilo, ila kwenye swala la ndoa lazima nizingatie kigezo changu muhimu cha kuolewa na mwanaume mrefu,” alisema Linah.

No comments:

Post a Comment

Designed By Published.. Blogger Templates