
Juzi Maraisa wa KiAfrica, Mabillionea, Wafanya Biashara
Matajiri, Wasomi na ndugu pia walipata fursa ya kuhudhuria harusi ya mtoto
wakike wakwanza wa Raisi Robert Mugabe aitwae Bona.
Kwenye harusi hiyo wageni waliokadiliwa kufika 4000
walipata pia fursa ya kuona Mjengo wa familia ya Mugabe ambao ulikua mjengo wa
siri kwa miaka mingi sana Msemaji wa Raisi Mugabe
anaejulikana kwa jina la George charamba amesema Nyumba hiyo ya Mugabe thamani
yake ni zaidi ya Millioni 10 za kimarekani , ilitengenezwa kwa michango
kutoka Zanu PF pamoja na wengine wasiojulikanahizi ndio Picha chache za harusi
io na pamoja na jumba ilo











No comments:
Post a Comment