
Jana katika Kipindi cha leo Tena Mwanadada Wema Sepetu
Aliulizwa kwanini Siku hizi ananenepa sana kiumbo na Mwanadada huyo mrembo
alijibu moja kwa moja kuwa ananenepa kwa sababu ana amani ya moyo kwa
vile yupo na mtu kimapenzi ampendaye kuliko wote duniani...Nadhani wote mnamjua
ni nani? Mapenzi raha Bwana asikwambie mtu ukimpata
akupendaye na wewe anakupenda lazima
No comments:
Post a Comment