Kwenye
hizi siku mbili tatu headlines za Magazeti, blogs, website na vyanzo vingine
vya habari zimemilikiwa pia na habari kuhusu Diamond Platnumz na Baby Madaha
kuhusu kurushiana maneno baada ya kauli ya kwanza ya Baby.
Madaha amezungumza ya moyoni na mwandishi wetu baada ya kusambaa kwa taarifa hizi na kufafanua kwamba ‘kiukweli ni kwamba hakuna ugomvi wowote labda ni yeye anaukuza ama ni nini, mimi sina ugomvi nae wala sitaki… nilichoongea ni ukweli kwamba alikua hajui muziki, uwezo wake huwezi kuulinganisha na Barnaba au Ali Kiba, nilitoa maoni yangu so haina haja ya kusema ni chuki’

‘Ukweli
siku zote watu wanauogopa so sijali atajibu nini kwa sababu niko tayari kumjibu
na nitasimamia kwenye point yangu na yeye kama ataongea aongee, muziki hauna
Mungu mtu wa kusema kwamba asiambiwe kitu chochote hata kama anakosea, hata
kama anaiba mashairi ya watu wengine asiambiwe? hata kama wimbo wake sio mzuri
asiambiwe? tunahitaji changamoto kwenye muziki’ – Madaha Kwa kumalizia,
Madaha
anasema ‘aumize kichwa kama wenzake na aweze kufanya muziki vizuri ambao
hautategemea kiki kupitia skendo za mapenzi, asijiweke sana kweye skendo ili
watu waelewe uwezo wake binafsi Diamond kama Diamond, so hiyo haikua beef… ni
ukweli na ukweli uauma na kuogopwa, ndio maana akareact’
No comments:
Post a Comment