Newss Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo
chetu cha habari kinasema boti ya MV Kilimanjaro II mali ya
Bharlesa imepigwa na dhoruba maeneo ya kisiwa cha Nungwi imekosakosa
kuzama ikiwa inatoka Pemba kuelekea Unguja kwa mujibu wa mtoa habari wetu ni
kwamba kuna Abiria wengine wameachwa baharini pamoja na mizigo mingine
kutokana na Boti hiyo kupigwa na wimbi kubwa na kuyumba na kujikuta
kuwadondosha abiria pamoja na mizigo katika bahari kwa sasa boti hiyo
inaendelea na safari, mabaharia wa Boti hiyo wamejitahidi,
No comments:
Post a Comment