Diamond Platnumz new Car 2014 |
Hahaaaa
kweli diamond noma sana, wanaosema ana hela kibao hawajakosea kabisa kwani kwa
mafanikio aliyonayo na anaendelea kupata sidhani kama atafilisika leo. Najua
kuna wengi mnaweza bisha na kusema kwani Mr Nice alikua wapi na leo yupo wapi,
but ukweli ni kwamba Diamond na Mr Nice wanautofauti mkubwa katika kupanga na matumizi ya mshiko.
Hii si siri tena kua kwa sasa Diamond ndo anaongoza kwa kua msanii anaelipwa
mshiko mrefu kuliko wote hapa bongo na nahisi anaelekea kua hata Afrika
Mashariki. Nina ushahidi kidogo tu kua admin wenu wa Tzfix nilipokua likizo
katika jiji la Mwanza Diamond alipiga show katika jengo la Buzuruga Plaza na
kulipwa shilingi Milioni 23. Sidhani kama kuna msanii yoyote wa bongo
alishawahi kulipwa mshiko huo kwa show moja, ili afikishe mshiko huo
nahisilazma apige kuanzia show 3 hadi 4 ili amfikie Damond.
Diamond Platnumz new Car 2014 |
Tuache
Brabra na tuende kwenye utamu wenyewe, kama mnakumbuka miezi michache iliyopita
msanii Diamond alinunua gari aina ya Toyota Prado na ilikua gumzo sana
mtandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Sasa baada ya mshiko kuongezeka kaamua
kununua gari ambayo ni funiko yani hakuna msanii mwenye kiburi wala jeuri ya
kununua gari hiyo. Maana akijaribu tu basi ujue uchumi wake utatetereka mbaya,
nayo si nyingine ni Toyota Land Cruser V8 Mpya Kabsa.
Katika
fukunyuafukunyua ya timu yetu ya Tzfix tukagundua kua ili mtu aweze nunua gari
hiyo ni lazima awe na dola za kimarekani
70,000 au ambayo ni zaidi ya milioni
110. Hakika ni gari ya ukweli sana na hapa bongo wanaotumia magari haya kwa
wingi ni watu wenye vyeo vikubwa serikalini mfano JK, Pinda na baadhi ya
mawaziri.
Diamond Platnumz new Car 2014 |
No comments:
Post a Comment