Steve
Konyagi.
|
Mwaka 2010
kwenye mwezi wa 11 Steve Konyagi Mtanzania anayeishi mji wa Lynn Massachesetts
nchini Marekani alishitakiwa na Mtanzania mwenzake (jina kapuni) kwamba
amembaka demu wake Mmarekani wakati hua aalikua na miaka 62 na kufikishwa
mahakami na kuwa nje kwa dhamana.
Steve
Konyagi alikuja Marekani mwezi wa 8 mwaka huo 2010 kabla hata hajakaa sawa
akakutana na balaa hilo la kubaka ambalo kama utapatikana na kosa kifungo chake
ni miaka 20 mpaka 40. Steve Konyagi Tanzania anatokea maeneo ya Sinza.
wakati Steve
Konyagi alipokua akiendelea na kesi yake ya kubaka bibi Mmarekani wa miaka 62
aliibuka dada mwingine Mtanzania (jina kapuni) aliyewahiishi DMV miaka ya nyuma
na kudai nae kabakwa na Steve Konyagi hiyo ilikuwa mwaka 2011. Mahakama iliamua
kuondoa dhamana kwa Steve Konyagi na kuMsweka ndani kuanzia wakati huo huku
ikiendelea kusikiliza kesi hiyo iliyochukua takriban miaka mitatu.
Vijimambo
baada ya kupata tetesi za Steve Konyagi kuwa huru ilinyanyua simu na kumtwangia
na yeye bila ajizi alinyanyua na kuanza kuelezea kisa kizima. Vijimambo
ilitakakufahamu kulikoni na Steve Konyagi akaanza kwa kusema mwaka 2010 kwenye
mwezi 8 aliwasili Marekani baada ya kushinda Creen Card na alifikia kwa dada
mmoja anayeitwa Adela ambaye yupo Massachusetts miaka mingi.
Jumamosi
moja ya mwezi wa 11, 2010 huyo Mtanzania aliyemshitaki walifika nyumbani kwao
akiambatana na demu wake huyo Bibi Mmarekani wa miaka 62 wakati huo sasa hivi
huyo bibi atakua na miaka 65. Mara baada ya kufika nyumbani kwao kama ilivyoada
ya Steve Konyagi ni mtu wa mchupa sana na baada ya kutembelewa na wageni
walianza siku yao kwa kupiga mitungi mpaka usiku mnene na demu wa mshikaji
akawa amepagawa na Steve Konyagi mdada akimtia majaribuni mshikaji wake. Baada
ya mitungi kukolea Demu wa mshikaji alishindwa kuvumilia alimtonya Steve kwamba
kwake yeye hajiwezi na Steve tangia aje Marekani alikua hajaona ndani alikua na
kinenge kikali pamoja na hivyo bado alishindwa kula uroda kwa demu wa mshikaji
lakini kilichotokea demu kulazimisha sana alichoambulia ni kula pipi kijiti.
wakati
huo mshikaji alikua amezidiwa kwa mchupa alipozinduka alihisi swaiba wake
amemtenda kitu mbaya na alipoanza kudodosa demu alijitetea kwa kumsinginzia
Steve kwamba amembaka ndipo mshikaji pamoja na kwamba yule demu alikuwa mkubwa
kiumri jamaa hakukubali alionelea yaishie mahakamani.
Wakati
kesi ikiendelea mahakani huku ikipigwa kalenda Steve Konyagi akakutana na
kisanga kingine cha kubaka mwaka uliofuata. Steve Konyagi aliendelea kwa kusema
Jumamosi moja ya mwaka 2011 wakati huo nishahama kwa Adela nakaa na mshikaji
wangu Mtanzania (jina kapuni) alikuja Demu aliyewahi kuwa girl friend wa
mshikaji wangu wakati huu akiwa na jamaa mwingi. Huyu demu ni Mtanzania
aliyewahiishi DMV miaka ya nyuma na alizaa na watoto wawili na wanaume wawili
tofauti. Kama uanvyojua tulianza kupiga mitungi kama kawaida yangu ilipofika
usiku mnene jamaa yangu na huyo bibie waliamua kukumbushiwa penzi lao na mara
wakaniacha sebuleni na kuingia chumbani baada ya saa kadhaa yule demu alirudi
sebuleni na kunikuta mimi nikiendelea na mitungi na wakati huo alirudi akiwa
amejifunga taulo tu akiwa amesalua mpaka kineng'esti chake. Demu alijiunga na
club yangu ya mitungi na baada ya muda mchache wote tulijikuta tumesinzia kwenye
kochi baada ya kuzidiwa na ulabu.
Baada ya
saa kazaa nilizinduka na kujikuta nipo na yule demu wakati huo akiwa bado
kalala na huku taulo alilojifunga likiwa limeanguka chini na yeye akiwa kama
alivyazaliwa. Baada ya kumuaona na hali ile nilijaribu kumuamsha alipoamka na
kujikuta na hali ilie alipiga kelele na kudai nimembaka nilijaribu kujitetea
lakini ilishindikana na wakaamua kuita polisi na tangia siku hiyo dhamana yangu
ikafutwa na mimi nikaswekwa ndani huku kesi zote mbili kuchanganywa pamoja.
Hatima
yangu niliiachia mahakama na wakili wangu kwa hiyo nilikaa ndani mpaka January
13, 2014 nilipoachiwa huru na mahakama kwa kupatikana sina hatia na
kilichoniokoa ni DNA walipochukua vipimo vya DNA kwa yule demu wa Kimarakani
bibi wa miaka 65 hawakukuta chochote changu kuotoka kwake na walipopima DNA
kutoka kwa dada Mtanzania pia waliambulia patupu lakini DNA ilimechi na yule
mshikaji wangu aliyewahi kuwa Bwana wake siku za nyuma ambayo siku hiyo ya
tukio walivunja amri ya sita.
Kwa hiyo
Bwana Vijimambo hiyo ndiyo mchapo wenyewe sasa hivi ni uraiani kama kawaida
nachoomba Watanzania wenzangu wawaogope mademu hao yasije yakawakuta
yaliyonikuta mimi.
Credit: vijimambo blog
No comments:
Post a Comment