Ni
mwendelezo wa burudani,iliyoasisiwa na kampuni
ya vinywaji
baridi Cocacola,kuwapa fursa wapenzi wa
kinywaji
hicho kupata burudana toka kwa wasanii wawapendao,tulianzia Dar
na leo ilikuwa
ni ndani ya jiji la miamba,Mwanza
and to be
honest,nimeipenda hali ya hewa ya Mwanza.
tazama picha
chache baada ya kuwasili,tuliongozana pia na Madee
No comments:
Post a Comment