Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?
Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala
la kufunga naye ndoa.
Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba
kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza kuniambia ni misteki
gani? Lulu: Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha
kabisa hilo siwezi kulijibu.
Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu
hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.
>>>GPL
No comments:
Post a Comment