Visitors


hit counter

Breaking News

728-banner


web counter

OnAir

Friday, 28 February 2014

LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE!

Elizabeth Michael ‘Lulu’.
OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mwigizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina moja la Johnson.Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo umetokana na kazi kwani yeye na Lulu wameingia mkataba hivyo walitegemea kusikia manenomaneno.

Lulu alipotafutwa kuhusiana na ishu hiyo, alitiririka: “Wabongo wanapenda sana kuzusha mambo, sijawahi kuwa na mwanaume anayeitwa Johnson  zaidi ya kuwa bosi wangu.”
Read more ...

HAAA! WOLPER AFANYIWA MASAJI LAIVU, ADAI KUHISI RAHA YA AJABU!

MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji laivu.
 “Asante…(akitaja jina la saluni), kwa raha niliyopata leo…, mi siyo mchoyo kwa kweli karibuni nanyi mpate afya. Nimefurahia walah,” aliandika Wolper.
Hata hivyo, tukio hilo liligeuka gumzo huku baadhi ya mashabiki wakimsifia na wengine wakimponda.

Read more ...

RIHANNA AFANYA BALAA LA SODOMA NA MDOGO WAKE UFUKWENI..HATARI SANA...!!






Read more ...

HAYA NDIYO MADHARA YA UVAAJI WA NGUO ZA KUBANA.




KADIRI siku zinavyokwenda kumekuwapo na ugunduzi wa vitu mbalimbali vinavyochangia kuleta mabadiliko katika jamii. Mabadiliko hayo yanaweza kuwa hasi au chanya kutegemea na aina ya  bidhaa iliyogunduliwa na matumizi yake. Zipo bidhaa zinazoonekana kuwa na matokeo ya haraka na mazuri baada ya kutumika, lakini wakati huo huo kuwa na madhara kiafya kwa mtumiaji.

Nchi nyingi zinazoendelea hasa zilizopo barani Afrika ikiwamo Tanzania zimekuwa ndizo waathirika wakubwa wa bidhaa zinaotajwa kuwa na madhara huku vijana wakiwa ndiyo kundi kubwa linaloathirika. Sababu za kundi hilo kuathirika zaidi ni kutaka kwenda na wakati kwa kujaribu kutumia kila bidhaa zinazotoka nje ya nchi bila kujua madhara yake.

NGUO ZA KUBANA
Miongoni mwa bidhaa hizo ni nguo za ndani zilizoundwa maalumu kwa ajili ya kupunguza unene(Nguo za Kubana), pia kutengeneza umbile la mvaaji katika mwonekano wenye mvuto aupendao. Nguo hizo zimetengenezwa kwa mtindo wa mbano, (Skin tight)ambapo ikivaliwa hubana eneo la tumboni hadi kwenye mapaja na hufanya kazi ya kupunguza unene, zikiufanya mwili kuwa mwembamba kulingana na nguo husika ilivyo.
Licha ya kufanya kazi hiyo kwa ufanisi na kusaidia kwa kiasi kikubwa watu wengi kupunguza miili yao, utafiti wa kisayansi unaonyesha kuwa nguo hizo za ndani huchangia kwa kiwango kikubwa uwezekano wa mvaaji kupata matatizo ya kiafya.
Utafiti uliofanywa na wataalamu mbalimbali wa nchini Uingereza, unaonyesha kuwa uvaaji wa nguo hizo unaweza kumfanya mvaaji kupata maradhi ya mgongo, saratani na kiwango kikubwa cha asidi mwilini.

Madhara ya Nguo za Kubana
Mmoja wa wataalamu wa afya katika Hospitali ya The London Clinic, Dk Johnson Wilson, anasema Nguo za Kubana  katika eneo la tumbo huzuia mzunguko wa asidi inayozalishwa ndani ya mwili na kuisababisha kupanda juu, badala ya kushuka chini.
Anasema kuwa hali hiyo inatokana na msukomo unaotokea kwenye tumbo, hivyo kusababisha mlundikano wa asidi ndani ya mwili ambayo hupaswa kutoka baada ya kuzalishwa.
Read more ...

Thursday, 27 February 2014

RAPPER CMB PREZZO AMTUKANA HUDDAR MONROE THE BOSS KWA KUMUITA MA***

 



Baada ya kupondwa na Huddah Monroe kuwa ‘amepigika’ mfalme wa bling, Rapcellency Prezzo ameamua kujibu mashambulizi na kusema uhusiano wake na Huddah ulikuwa wa kufanya mapenzi tu, basi.

Kwenye interview na Heads Up, Prezzo aliweka wazi kuwa ni kweli aliwahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na aliyekuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Africa mwaka huu.

“Tuliwahi kukutana kama mara tatu hivi nadhani alipenda alichokipata. Alinogewa,” Prezzo aliimbia Heads Up.

Anadai kuwa Huddah amechukia kwasababu hakutaka kuendelea naye.

“Huddah ni kama mali ya serikali. Amelala na karibu dunia nzima. Unadhani rais anaweza kutulia na mwanamke kama huyo,”alihoji Prezzo. Alidai pia kuwa Huddah amekuwa akiwasumbua wanawake wote wengine aliowahi kuwa na uhusiano nao.

“Sijawahi kumjibu, lakini utagundua kuwa alimshambulia Goldie na Diva wa Tanzania.”

Wakati huo huo, Huddah amekuwa akitweet majibu ya kile alichokisema Prezzo
Read more ...

JINSI YA KUMPATA MSICHANA YEYOTE UNAYEMTAKA KIMAPENZI....!! TAMBUA TECHNIQUES HAPA...


Kuna wanaume wengi wamekuwa wakikosea kutongoza.Wapo wengine labda amempenda binti fulani lakini anashindwa cha kufanya.Kuna wakati unaweza kukuta mwanaume anachokifanya anampa ofa mwanamke,mara anamwambia tukale na hata zawadi nyingine zinafuata.Jambo lililo la msingi katika maisha yetu ni kuwa wazi,mtu aelewe nini hasa unachokitaka moyoni mwako si zaidi.

Wapo ambao wanaogopa watu labda ni kwa sababu ni wazuri au wamesoma zaidi yao,lakini mapenzi ni zaidi ya hayo,unaweza kuona mtu kweli anaonekana yuko matawi ya juu jina tu,mapenzi hayana matawi ya juu wala ya chini
Ndo maana unaweza kuona mama mtu mzima na heshima zake anajisalimisha kwa kijana mdogo,au unaweza kuona mwanaume mtu mzima na hekima zake anafanya ngona na mfanyakazi wa ndani,huenda akawa mchafu au hata
si wa kutamanisha kivile.

Mapenzi ni suala pana,unaweza kujiremba ukifikiri ndo njia ya kumtamanisha mwanaume,wapo wanaume wanachokipenda sio mwanamke ajirembe.
Unaweza kuvaa kimini na nguo yenye kuonyesha sehemu kubwa ya mwili wazi,wapo wanaume wenye kuchukia hilo.
Unaweza kuvaa suruali ukifikiri ndio chaguo la wanaume,wapo ambao hawataki kusikia mwanamke anayevaa suruali.Ninachotaka kusema ni kwamba watu wametofautiana kwa namna ya mahitaji yao.

HATUA MUHIMU UNAPOFIKIRIA KUTONGOZA:
Jambo la kwanza lililo la msingi ni kufahamu anachokipeanda yule unayetaka kuanza kumfuatilia.Je ni mwenye kupenda hali gani,yuko makini au hayuko makini
Furaha ya wanawake wengi ni kuwa na mwanaume ambaye anajiamini.

HATUA ZINGINE:
a) Mguse bega au sehemu ambayo si ya kumdhalilisha,mwambie umependeza;kama uko kwenye mazingira ambayo yanawezekana,Inashauriwa kumgusa kama unataka kuuliza jambo fulani,Hili ni jambo la msingi kwani kitaalamu linachangia kumjua mtu tabia yake na anavyoweza kukuchukulia katika mambo mengine unayotaka kuyasema.
Read more ...

EXCLUSIVE: AGNESS MASOGANGE NA MISS TANZANIA NAMBA MBILI WAHONGWA MIDOLA NA MAPEDESHEE WA DODOMA

  KATIKATI NI MMILIKI WA MATEI LOUNGE & PUB AKIWA NA AGNESS MASOGANGE MJINI DODOMA, JAMAA KAPAGAWA KINOMA NOMA: JIONEE BALAA LA WAREMBO WAKIOSHA MAGARI KWA MBWEMBWE:


 SHADADI KUTOKA VODACOM MAKAO MAKUU DODOMA AKIWA NA BOSS NGASA MUDA HUU KWENYE KIWANJA CHA KIJANJA MATEI LOUNGE & PUB

"DJ ABOU MKALI"
DJ MAARUFU WA MAISHA CLUB DODOMA 









KWA HABARI KAMILI KUHUSU KINACHOENDELEA KWENYE HIILOUNGE NA KUHUSU AGNESS MASOGANGE NA MISS TANZANIA NAMBA MBILI KILICHOWALETA DODOMA, ENDELEA KUPERUZI MTANDAO HUU
Read more ...

PICHA ZA MITEGO ZA AMBER ROSE WA AFRIKA...NI SHIDAAA AISEE....!!!JIONEE MWENYEWE HAPA...!!



Wabongo wanaiga lakini wenzao wanafanya hivi wakiwa na sababu mhimu kwa ajili ya kuingiza mkwanja hawadanganywi kama wabongo wanaokubali kupiga picha za ovyo bila sababu muhimu kisa mapenzi mbongo usiige sasa hapa mwenzio anatengeneza mkwanja..
SEE MORE PICS AFTER THE CUT...!





Read more ...

WAYNE ROONEY AJIFUNGA MANCHESTER UNITED..ASAINI MKATABA WA KUICHEZEA MPAKA 2019


Wapenzi wa Manchester united hii itakuwa habari ya nzuri kwao kwasababu mtu muhimu kwenye kikosi chao amesaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.
Rooney amesaini mkataba wa kuendelea kuwa na club ya Manchester united kwa miaka 4 zaidi ambapo atakuwa hapo hadi 2019.
Picha kwenye instagram ya Man united ambayo inamuonyesha Rooney akisaini mkataba huo pembeni ya kocha wake imepewa caption hii “Great news for #mufc as Wayne Rooney signs a four-year contract extension keeping him at #mufc until June 2019. 
Read more ...

HABARI PICHA!! DIAMOND NA MADEE KUTOA BURUDANI NDANI YA JIJI LA MWANZA

Ni mwendelezo wa burudani,iliyoasisiwa na kampuni
ya vinywaji baridi Cocacola,kuwapa fursa wapenzi wa
kinywaji hicho kupata burudana toka kwa wasanii wawapendao,tulianzia Dar
na leo ilikuwa ni ndani ya jiji la miamba,Mwanza
and to be honest,nimeipenda hali ya hewa ya Mwanza.
tazama picha chache baada ya kuwasili,tuliongozana pia na Madee







Read more ...

EEEH MUNGU,TAZAMA UNYAMA HUU UNAOTENDEKA AFRIKA YA KATI,HUYU NI BINADAMU MWENZETU

 




 

Read more ...

MADHARA YA PEMPAZI AU PEDI....SOMA HAPA UKIACHA SHAURI YAKO !!


Kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa ya mfumo wa mkojo (UTI) na uzazi kwa wanawake, hii inasababishwa na sababu nyingi ikiwemo ya kukosa uelewa sahihi wa kanuni za afya na usafi wa mwili pamoja na mazingira yanayomzunguka mwanamke. 

Mada za usafi wa mwanamke ni pana sana siwezi kumaliza kusema kila kitu, hivyo leo nitajikita zaidi katika matumizi sahihi ya pedi na mambo ya kuzingatia kabla ya kunua pedi. Wadada wengi wamekuwa wakitumia pedi na kuziacha zikizagaa mitaani hali inayofanya nijiulize kama tu ameshindwa kujua sehemu sahihi ya kuhifahi au kutupa pedi aliyotumia yeye mwenyewe, 
Je anauelewa upi katika matumizi sahihi ya pedi hizo kabla hajazitumia?

 Somo la leo nitajikita katika njia sahihi ya kuchagua na kutumia pedi, makosa yanayofanywa katika matumizi ya pedi na ushauri juu ya matumizi sahihi ya pedi na vitambaa kwa wale wanaovitumia.

Yafuatayo ni makosa yanayofanywa katika uchaguzi na matumizi ya pedi kwa wanawake:

1. Kutonawa mikono kabla na baada ya kutumia pedi. Mikono hushika sehemu mbalimbali hivyo kuna uwezekano ikawa na vimelea vinavyosababisha magonjwa kwa hiyo kushika pedi bila kunawa mikono kwa sabuni kunaweza kuhamisha vimelea hivyo kutoka mikononi na kwenda kwenye pedi inayotegemewa kuvaliwa.

Read more ...

HUU NDIO UJIO MPYA WA MDADA RAY C...!!!SOMA ZAIDI HAPA...

Kitu kikubwa kinachosubiriwa kutoka kwake hivi sasa kazi zake mpya kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kitu cha kusubiria sio hicho tu bali Ray C Foundation ni kitu kingine kitakacho kuja kutoka kwa Ray C.

Ameshare ujio wa foundation hii kwenye ukurasa wake wa instagram na kudokeza kwa maneno “Coming soon stay tuned!!!!!” japokuwa hakuweka wazi kazi ambayo itafanywa na foundation hiyo.



Read more ...

MWALIMU AMCHINJA MWANAFUNZI WAKE HADI KUMUUA..... NAYE PIA AUAWA NA WANANCHI


Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar, ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36) wa Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam, ameuawa baada ya kumchinja mwanafunzi wake.

(hudugu)


Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Temeke, Jonathan Shana, akizungumzia mauaji hayo, alisema tukio hilo la kinyama, lilishuhudiwa na wananchi waliomuua ustadhi huyo.

Alisema baada ya mwalimu kumuua mwanafunzi wake wa kiume alichukua kisu alichotumia pamoja na msahafu na kukimbia.

"Ilidaiwa kuwa alimchukua mtoto huyo , kumlaza chini kisha kumchinja kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na kutelekeza vipande vya mwili wake kwenye varanda," alisema Kamanda Shana.

Baada ya mauaji hayo mtuhumiwa alianza kukimbia lakini wananchi walimvamia na kumshambulia kwa mawe na kila silaha iliyokuwa karibu na kumuua papo hapo.

Shana alieleza kuwa polisi walifika eneo la tukio na kuchukua maiti hizo na kuzipeleka hospitali ya Temeke.


Hata hivyo alisema jina la mtoto huyo mwenye umri kati ya miaka 10- 12 halikufahamika na polisi inaendelea na uchunguzi
Read more ...

PICHAZ...JIONEEE SHOW YA DIAMOND JIJINI ILIVYOKUWA...!!!!

Diamond akitoka hotelin kuelekea viwanja vya furahisha,ilipofanyikia show


Zamu ya Diamond ikawadia















Nikimaliza Hivi !!!

Huyu binti mdogho kwa mapenzi kabisa
,hakuona taabu kupenya msongamamno
wa watu ili tu apate kunisalimia... Much love to her Shukran sana



Read more ...
Designed By Published.. Blogger Templates